album cover
Ushanitoka
album cover
00:20
01:50
00:00
02:45
Past 7 Days
Ushanitoka was discovered most frequently at around 35 seconds into the song during the past week

Lyrics

[Verse 1]
Naona ka sifaidi mapenzi ni ukaidi
Naona bora furaha nijipe mwenyewe
Mapenzi ni usaliti mapenzi hayaaminiki
Unaweza penda unayempenda akapenda mwingine
Nishapona na moyo mweupe mweupe pe
Sina hata jeraha moyo mweupe mweupe pe
[PreChorus]
Na sifake furaha kusema nikuwaze
Vipi nikuwaze na
Ushanitoka
[Chorus]
Aaah aah ahh aah aah
Aaah aah aaah aaah umenitoka
Aaah aah ahh aah aah ushanitoka
Ah yeah yeah yeah
[Verse 2]
I can't beleive ukweli mapenzi yana uchizi
Hasa ukiwa na wivu
Utaonekana unayeforce mapenzi
Utameza mpaka vidonge
Mawazo mengi mwili ukonde
Utajiliwaza labda na pombe
Ili uyapoze maumivu ya moyo
[PreChorus]
Na sifake furaha kusema nikuwaze
Vipi nikuwaze na
Ushanitoka
[Chorus]
Aaah aah ahh aah aah
Aaah aah aaah aaah umenitoka
Aaah aah ahh aah aah ushanitoka
Ah yeah yeah yeah
Written by: Lila Dawa, Platform
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...