album cover
Nikumbushe
77,191
African
Nikumbushe was released on June 4, 2019 by Epic Records Tanzania as a part of the album Na Marafiki (feat. Mariana)
album cover
Release DateJune 4, 2019
LabelEpic Records Tanzania
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM83

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angel Bernard
Angel Bernard
Songwriter

Lyrics

Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendi
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika
Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba
Japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda na hofu
Japokuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh
Nakumbuka wana wa Israel katika bahari ya SHAMU
Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa
Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa
Yalibadilika mambo, manung'unikoo yalisimama
Na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah
Eee MUNGU Nisaidie ee eeh
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Eeh ee MUNGU Nisaidie
Nisaidie kukumbuka baba yakwamba umenichora
Kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh
Na mimi umenionaa oooh ooo
Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa
Yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni
Ouoh ooh Yakwamba kama ungeniacha hatua moja
Nisingelifika nilipo ooh eee Babaa
Umenikung'uta mavumbi, kung'uta
Mavumbi mimi na kuniheshimisha
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Yesu nakutazama ninakuamini wewe
Fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike
Mbele zako, katika hali zote nijue upo
Umesema hutaniacha eeh Yahweh
Written by: Angel Bernard
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...