album cover
Mkaskazini
997
Rap
Mkaskazini was released on August 7, 2026 by Rosa ree as a part of the album Mkaskazini - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
00:20 - 00:25
Mkaskazini was discovered most frequently at around 20 seconds into the song during the past week
00:00
00:20
00:25
00:30
00:40
00:45
00:55
01:10
01:20
01:35
01:45
02:05
02:10
02:50
00:00
03:08

Lyrics

Intro:
Goddess
It's Rosa Ree
Mungu libariki taifa la Kaskazini
Verse 1:
Tukikutana mujini
Natembea na wadudu kama hamsini
Tunatoka Moshi utafikiri ni ma-chimney
This is my town call me mkaskazini
Rada? Huku hatujaaii toaga wakuda
Huwezi kututesti maana si ni sumu budda
Ukisema niajee nakwambia niko gudaaa
Ni yechuuu, ni levooo, ni mbayaaa ile laanaaa
Mkisaka tobo, tuna migodi mererani
Mkipanda ngazi, kilimanjaro mabegani
Mnataka kushine, tuna bling tanzanite
Mkichapwa na jua, kiyoyoz every night
Me chugganian moto zinalia ka irani yani
Burungu zimetegwa mpaka maskani
Mkoks kwa mfuko ndo kibali yani
Hii ndo chugga man
Hakuna place kama chugga
Kama huna vibe basi vunga x2
CHORUS:
Kaskazini, Kaskazini
Bendera inapepea ni ya
Kaskazini
Na dundo linabenggg toka
Kaskaziniii
Kaskazini
Kaskazini
Eeeeeeeh
Bendera inapepea ni ya
Oooooohhh
Na dundo linabeng toka
Verse 2:
Tunawaloesha mvua kali ile bojo
Na tunamoka mawaki wakae chonjo
Hizi mitaa hamna mwanaume rojo
Ndo maana kila chocho hatukosi dojo
Washa kitu lipitishe jani ka tuko kwenye msitu
Mbege kwenye kata nakupa ria kitutuuu
Tule chaparara na loshoro na kiburu
Usisuse kisusio maana ndo mambo yetu
Ukija kwa hii fasi ni faya pon dem
Huku ndichi bomba zimejaa kila sehemu
Si ndo mambo bad kila Kona kwenye game
Ukileta ukuda utaitwa marehemu
Me chugganian moto zinalia ka irani yani
Burungu zimetegwa mpaka maskani
Mkoks kwa mfuko ndo kibali yani
Hii ndo chugga man
Hakuna place kama chugga
Kama huna vibe basi vunga x2
CHORUS:
Kaskazini, Kaskazini
Bendera inapepea ni ya
Kaskazini
Na dundo linabenggg toka
Kaskaziniii
Kaskazini
Kaskazini
Eeeeeeeh
Bendera inapepea ni ya
Oooooohhh
Na dundo linabeng toka
Written by: Rosa Ree
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...