album cover
Nikomeshe
album cover
Nikomeshe was released on July 5, 2021 by EMC as a part of the album Nikomeshe - Single
July 5, 2021
LabelEMC
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Nimekuweka wallpaper
Tangu tumeachana
Video zote nimeziweka
Kumbukumbu tukidekezana
Baadhi ya picha nimehifadhi
Kwa laptop simu ikileta shida (Shida shida)
Kamemory kenye hakana virus
Na wezi nao wasije wakaiba (Iba iba)
[PreChorus]
Nilisema nisikunfollow Insta wala kukublock
Kumbe nafanya kazi ya kanisa, pressure najipa stroke
Nilihisi utabadilika kumbe fikra zangu potofu
Nampa kiziwi speaker, kioo nampa kipofu
Wewe unaenjoy ninabaki mjinga ndemwa
Kisa kwako sikohoi ndo kila siku masinema
Au kisu sinoi sijui kulenga mi nadema
[Chorus]
Nitoe na roho basi uenjoy nife unizike tu mapema
Nikomeshe, malipo duniani yote ni mapito
Nikomeshe, kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Nikomeshe, jua kila mtihani una suluhisho
Nikomeshe, we nione hamnazo fungu langu lipo
[Verse 2]
Kinachoniumiza yeye ndo yangu dawa
Akinitibu napona
Ona kanimimina sanitizer kaninawa
Utadhani Corona
Moyo wangu kwake niliugawa
Nikampa yeye mbona
Kapeperuka kama ana mabawa
Kaniacha nasonona
Sonona sono, penzi kalikatisha njiani
Sonona sono, mwambieni japo awe na imani
Sonona sono, mi mwenzake nitapendwa na nani?
Sonona sono
Nilikuwa sijajua kuna binadamu na watu
Kumbe nawe ulikuwa nusu kenge nusu chatu
Unaniumiza ingali wajua ndo unayenitosha kiatu
Nenda nitasoma dua nitakaa hata hiatu
[PreChorus]
Nilisema nisikunfollow Insta wala kukublock
Kumbe nafanya kazi ya kanisa, pressure najipa stroke
Nilihisi utabadilika kumbe fikra zangu potofu
Nampa kiziwi speaker, kioo nampa kipofu
Wewe unaenjoy ninabaki mjinga ndemwa
Kisa kwako sikohoi ndo kila siku masinema
Au kisu sinoi sijui kulenga mi nadema
[Chorus]
Nitoe na roho basi uenjoy nife unizike tu mapema
Nikomeshe, malipo duniani yote ni mapito
Nikomeshe, kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Nikomeshe, jua kila mtihani una suluhisho
Nikomeshe, we nione hamnazo fungu langu lipo
[Outro]
Nitajiliwaza mwenyewe nitajiliwaza
Nitajiliwaza nikilia nitanyamaza
Nitajiliwaza mwenyewe nitajiliwaza
Hata nikilia nitajiliwaza nikilia nitanyamaza
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...