Lyrics

Umenilinda na kunihifadhi Fadhili zako za milele Ni ju yako Bwana mi naishi Umenilinda kwa mishale ya kifo Fadhili zako za milele Ni ju yako Bwana mi naishi Umenilinda kwa mikosi yoyote Fadhili zako za milele Ni ju yako Bwana mi naishi Pokea sifa zote na utukufu Heshima na uweza ni zako Bwana Haulinganishwi na chochote Fadhili zako za milele Ni ju yako Bwana mi naishi Gongo lako na fimbo yako Yanifariji mimi Ni ju yako Bwana mi naishi Waandaa meza mbele ya watesi wangu Ni ju yako Bwana mi naishi Nipitapo kwenye uvuli wa kifo Wewe huniachi baba Ni ju yako Bwana mi naishi Pokea sifa zote na utukufu Heshima na uweza ni zako Bwana Haulinganishwi na chochote Fadhili zako za milele Ni ju yako Bwana mi naishi End
Writer(s): Frank Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out