Lyrics

Oooooookh Yanaanza kama safari Twende furani ukaone Kumbe yananguvu ni hatar Ukishanasa ndo upone*2 Mungu aliumba dunia na Maajabu yake Ya mwenzako ckia omba ya ckupate *2 "Kizaizai" ona mapenzi yanauma "Kizaizai" yanaumiza "Kizaizai" ooooh kizunguzungu "Kizaizai" jama mapenzi mabaya "Kizaizai" waweza gombana na ndugu "Kizaizai" rafiki akawa mbaya "Kizaizai" kazi ukaona chugu "Kizaizai" eeeeeeh mapenzi karaha Eeeeeeeeeeeh eeeeeeeeh eeeeeeh Hakunaaaa eeeeeh Yananyima furaha eeeeh Yanakosesha rahaaa eeeeh Yananyimaaa furaha eeeh eeeh Yanakosesha rahaaaa hey Tena usiombe kupenda unae mpenda ajue*2 Amani utakosa karaha jamani eeeh Dunia chungu kufa utatamani eeeh Mungu aliumba dunia na maajabu yake Ya mwenzako ckia omba yasikupate ooh Mungu aliumba dunia na maajabu yke Ya mwenzako ckia ila yasikupate "Kizaizai" mm mapenzi yanauma "Kizaizai" yanaumizaa "Kizaizai" oooh kizunguzungu "Kizaizai" jama mapenzi mabaya "Kizaizai" waweza gombana na ndugu "Kizaizai" rafiki akawa mbaya "Kizaizai" kazi ukaona chungu "Kizaizai" iiih mapenzi karaha Eeeeeeeeh eeeeeeehh Hakuna eeeeeh Basi nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nibaki nimetulia Nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nibaki nimetulia Linnah nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nitulize nibaki nimetulia Nani na ugonjwa (wa moyo wa moyo) Ooooh sili silali (wamoyo wa moyo) Oooh sanga tafadhali (wa moyo wa moyo) Ni poze hii hali (wa moyo wa moyo) "Kizaizai" hiii mapenzi yanauma "Kizaizai"yanaumiza "Kizaizai"oooh kizunguzungu "Kizaizai"jama mapenzi mabaya "Kizaizai"waweza gombana na ndugu "Kizaizai"rafiki akawa mbaya "Kizaizai"kazi ukaona chungu "Kizaizai"hii mapenzi karaha "Kizaizai kizaizai kizaiAi"
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out