Lyrics

Halleluiah Wewe mungu unashangaza sana Halleluiah Halleluiah aah Tuuulu tululu tuuulu Matendo yako yaajabu sana Yashangaza Fadhili zako za milele baba Zashangaza Nikitazama ulivyoumba Yashangaza Upendo wako kwangu mimi Washangaza Miujiza na maajabu tele Yashangaza Wanyama wakondeni baba Washangaza Milima na mabonde inaimba Washangaza Wanyama nao wanasema wewe Washangaza Uumbaji wako mungu Washangaza eiiaa Matendo yako yaajabu sana baba Washangaza Fadhili zako za milele baba Washangaza Uwezo wako kwa ulimwengu Washangaza Uumbaji wako wa pekee Washangaza Aah nikupe nini mungu wangu Washangaza Unavyonipigania baba Washangaza Rehema zako kwangu mini Washangaza Mataifa waimbe Ni wewe Rose:(waiimbee) Ni wewe Wenye nguvu waimbe Ni wewe Rose:(waimbee) Ni wewe Wenye waaruni imba Ni wewe Rose:(imbaa) Ni wewe Jerusalemu waseme Ni wewe Rose:(wasemee) Ni wewe Mwenye nguvu ni wewe Ni wewe Rose:(Ni wewe) Ni wewe Mwenye uwezo ni wewe Ni wewe Rose:(Ni wewe) Ni wewe Wateule na waimbe Ni wewe Rose:(waiimbee) Ni wewe Nao waharuni imba Ni wewe Rose:(waiimbee) Ni wewe Walioko moyo imba Ni wewe Rose:(waiimbee) Ni wewe Wateule imbeni hee Ni wewe Rose:(waiimbee) Ni wewe Mwenye nguvu ni wewe Ni wewe Rose:(Ni wewe) Ni wewe Mwenye uweza ni wewe Ni wewe Rose:(haya ni wewe) Ni wewe Mwenye mamlaka ni wewe Ni wewe Rose:(oo Ni wewe) Ni wewe Mungu nani kama wewe Ni wewe Rose:(Ni wewe) Ni wewe Ni wewe Tuuulu tululu tuuulu
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out