Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Verse 1]
Nawaza kwa nini sikumjuaga zamani, oh mama
Pendo lake zito mpaka lavunja mizani, oh mama
Yeye na mimi kachoo nisharuka nyie, oh mama
Wasiojua mapenzi, pole jamani
Ati alikuwa bachelor, aibu gani
[Verse 2]
Aliyeumba dunia akayaumba na mapenzi
Wala hakukosea, ila mwezenu mi siwezi
Nilishapenda ila nikatendwa
Moyo ulidunda maskini roho
Mbona nilikonda licha ya kuhonga
Kuweka viwanda nishaomba poo
[Verse 3]
Mwenzangu bado hujajua, baki unicheke
Kwako yamechanua, ngoja yanyauke
Andazi si kitumbua acha mapepe
Ukipendwa tanua kwa nini nisideke?
[Chorus]
Jamani nimependa mi, nimependa mi
Nimependa mi nataka nimweke ndani
Mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie
Nimetendwa mi, mapenzi siyatamani
[Chorus]
Jamani nimependa mi, nimependa mi
Nimependa mi nataka nimweke ndani
Mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie
Nimetendwa mi, mapenzi siyatamani
[Verse 4]
Maana mapenzi ya bara kayachanganya na pwani
Vipi nitajinasua
Rangi kama chokaa, la ajabu sio mGermany
Marsh huzibi pua, ooh
[Verse 5]
Ameumbika sina budi nisifie
Akipika natamani nilipie
Sehemu ya ubaga uliweka kiwembe
Ndio maana mwasi, akaona ajijenge
[Verse 6]
Wewe kwako sikia (Sikia mwana)
Ila kwako utalia (Utalia sana)
Pili nilikuwaga fundi (Fundi zaidi yako)
Mpewa ka mirundi, nikiganda kama sumako
[Verse 7]
Ninakutia pesamadegenye (Asiniache)
Eh, na nikamchanganya akolee (Asiwapee)
Mpenzi upepo wa bahari, mara kusi shwari
Yakichanja ni hatari na usiombee
[Chorus]
Jamani nimependa mi, nimependa mi
Nimependa mi nataka nimweke ndani
Mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie
Nimetendwa mi, mapenzi siyatamani
[Chorus]
Jamani nimependa mi, nimependa mi
Nimependa mi nataka nimweke ndani
Mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie
Nimetendwa mi, mapenzi siyatamani
[Chorus]
Nimependa mi, nimependa mi
Nimependa mi nataka nimweke ndani
Nimetendwa mie, nimetendwa mie
Nimetendwa mie, nimetendwa mie
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...