歌詞

Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Tunasonga mbele kwasababu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Tunasonga mbele kwasababu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Nashukuru kwa sababu tunaye Baba mwenye huruma Anayetuhurumia tupitapo kwenye matatizo Nashukuru kwa sababu tunaye Baba mwenye huruma Aliyesema tusifadhaike mioyoni mwetu Asingekua pamoja nasi nani angekua nasi Asingekua mwenye huruma leo tungekuaje Asingetuhurumia Baba nani angetushindia Asingekua mpole Baba tungeenda kwa nani Tupo hivi tulivyo kwa sababu ya Baba Tupo hivi tulivyo kwa sababu ya Mungu Kwa msaada wa Mungu tunashinda vyote Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Ni Mungu atabaki kuitwa Mungu kwangu Amenipenda hata mimi, nisiyetazamiwa Ni Mungu atabaki kuitwa Mungu kwangu Amenipenda hata mimi nisiyetazamiwa Hivi nilivyo mimi leo, ni kwa neema ya Baba Hivi nilivyo mimi leo, ni kwa neema ya Mungu Angetazama elimu yangu, ni nani angenichagua Angetazama wenye pesa, mimi si chochote Angetazama elimu yangu, ni nani angenichagua Angetazama wenye pesa, mimi si chochote Nipo hivi nilivyo mimi, kwa neema ya Baba Nipo hivi nilivyo leo, kwa neema ya Baba Kwa msaada wake, nashinda yote, eh Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu Tunasonga mbele kwa sasabu ya Mungu Hatukati tamaa kwa neema ya Mungu
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out