歌詞

Sha, sha, chii Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo uki MC Sharon what? Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo Nyuma opposition wanakusorora Alafu down chini umedunga Nikes Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike Nyuma opposition wanakusorora Alafu down chini umedunga Nikes Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike Nyuma opposition wanakusorora Alafu down chini umedunga Nikes Yoh pull up ndani ya colours za chui chui Mans as if Mike Sonko Mbuvi, Mama Lucy Still ndani ya street we are do it Tuko on kama Steve Mbogo juzi huko Dusit Mi sichezi hunijui Napendwa na mashabik, God na tugroupies It's always major mad tracks nikiweka chorus Acha nikucounsel vizuri bila matusi Oops ka ulijifanya makmende Juu ulifinywa makende, shukuru bado uko Ati wanataka Rong Rende Moyo uende mahali roho iko Yoh, mistari zangu zina chumvi 2016 nilienda uziwa na Royco Mistari zangu zina chumvi Utanipata niko kwa jiko Yeah, come rain come shine all the time Kila kona ndani ya Nai sai sai tunapeddle bike Juu miradi ni mob kidesign Paper chasing on the grind one time nikipeddle bike Nacheki tu mambleina wakiwa mainformer Nawaona 18 nikipeddle bike Mitaani nakanyaga na maJs ndio swag Kwenye feet pale down nikipeddle bike Storyteller on the mic is Domani pia na Scar Hii ndio domain ya kuignite this Anticipated all along like a dime biz Ingawa kuna wale itabidi wa despise this Been a long time coming like a storm Decibella ni See Mama Rocks spitting fire Check the cause in my mouth please From way back like Genesis imeniweza mouthpiece On the hustle on the booth bila brake Jah guide be siege, mixtapes for sale Is a business thing up stake Crème crème de la crème in bed Peddle bike, peddle bike, peddle bike Night game ni kupeddle bike Uptown downtown nikipeddle bike For stars ukiwai we skuma vibe Si hufanya madharau Aaah, na ikibidi mother zao Nikifika unatii, nigga bow Nishafanyanga hizi streets madhabau Na sichomi picha, niko fresh angalau Juu niko na watoto wanabeef baba zao Niko na clique inarisk kubonga na mabeast Lakini bado tunabishana nao Tunapeddle bike Nimefura mazgwembe juu ya kupeddle bike Baby babe usinipende mi napenda ngwai Msupa wako chunga ju rende unaweza enda naye Tuma location tunakuja ka tumeenda live Nakula ya kesho leo sababu mi hupenda life Mi huwaga sinego nikifika, nikifika huwanga mengo Kunishinda huwanga mtego Kwa sababu mi hupenda knife ha ha ha Vurugu ndio akome, vuvuvu juu ya kome Na kahater ni katoto ka colle Nikiwa msoto mfuko wako nikutombe Nani ndio mzito cheki comments Mi sibongangi na maopponents Labda niwakange niwapone Alafu matha yako aambiwe pole Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo Nyuma opposition wanakusorora Alafu down chini umedunga Nikes Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike Nyuma opposition wanakusorora Alafu down chini umedunga Nikes Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike Peddle bike, peddle bike, peddle bike Ushai sell gunga ukipeddle bike Na kabag kwa mgongo ukipeddle bike Nyuma opposition wanakusorora Alafu down chini umedunga Nikes
Writer(s): David Munga Ramadhan Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out