Music Video

Nataka Kulewa (Official Music Video HD) - Diamond Platnumz
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Bob Manecky
Bob Manecky
Producer

Lyrics

AM-Records Ayaya yaya yaaa! We niache niende niende, niende niende We niache niende niende, niende niende Mhhhh usiniulize kwanini Sababu utanizinguaaa Ukitaka jiunge na mimi Kama ni pesa we kunywa nitanunua Mi mwenzio sikuamini Nikajuaga vya kuzua Kumbe mjinga ni mimi Ninaetunza wenzangu wanachukua Aaah, oooh mapenzi Mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Mie siwezi ya walionikuta niache niseme jina Ooh mapenzi, mapenzi yalinifanya katoto Nilie vibaya na nina mengi yamenikaa moyoni Leo nataka kulewa (lewa) Mi nataka kulewa (lewa) Nataka kulewa (lewa) Zikipanda nimwage radhi Nataka kulewa (lewa) Mi nataka kulewa (lewa) Nataka kulewa (lewa) Zikipanda nimwage radhi Ayaya yaya yaaa We niache niende niende, niende niende Ayaya yaya yaaa We niache niende niende, niende niende Mi kwa mapenzi maskini, 'kamvisha na pete kwa kumuoa Kukata vilimi limi vya wazushi wanafiki wanaompoonda Kumbe mwenzangu na mimii, ni bure tu najusumbua Si tupo kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawaonga Ooh mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibayaa Mie siwezi walonikuta waniache niseme jina Ooh mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Na nina mengi, yamenijaa moyoni Ehhh leo nataka kulewa (lewa) Mi nataka kulewa (lewa) Nataka kulewa (lewa) Zikipanda nimwage ya radhi (tilalila) Nataka kulewa (lewa, tilalila) Mi nataka kulewa (lewa) Nataka kulewa (lewa) Zikipanda nimwage radhi Ayaya yaya yaa We niache niende niende (kulewa kulewa) Niende niende (kulewa kulewa) Kulewa kulewa Weniache niende niende (kulewa kulewa) Niende niende (kulewa kulewa) Kulewa kulewa (iiih) Kulewa kulewa (iiih) Kulewa kulewa (iiih) Kulewa kulewa (iiih) Kulewa kulewa (iiih)
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out