Lyrics

Tubonge, Chameleone anaomba tubonge Mungu Baba, we long de Gospel time now, ooh Lord... Nina wewe wa kweli, katika wote ninaye ni wewe Ana nipenda Chamili, bila kipimo unanipenda hakuna kiasi Ningependa nikuone nikupe, vyote vyangu, nikupe chochote Unachotaka chochote upate, lakini sina namna ya kukupata Ungekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipi Ningekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter, lakini hata sura yako uli ificha! Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana Njo... I don't know what to do, to do, I'm waiting for you Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana... Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli! Rafiki yangu nimempa sasa tuuzo, anaa siri zangu nyingi siogopi mateso Hao wabishi hawanitishi na mawazo, ninae ninae Nkiwa kwangu sasa misitaki fujo, nikiwa naye siogopi the devil Paddy man ongeza bass na treble, nimtajje kama ninaimba tangazo Ungekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipi Ningekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter, lakini hata sura yako ulificha! Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana Njo... I don't know what to do, to do, I'm waiting for you Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana... Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli! Tubonge, Chameleone anaomba tubonge Mungu Baba, we long de Gospel time now, ooh Lord... Njo nikupe chochote unataka, hatuja kutana mi nakufata Njo... nikukaribishe kwangu, njo... nikupikie chakula taamu Naomba nikuwoneshe na watoto wangu, njo... nikuwoneshe baba, mama wangu Nikuwoneshe marafiki zangu, nami na moyo wangu Ungekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipi Ningekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter, lakini hata sura ulificha! Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana Njo... I don't know what to do, to do, I'm waiting for you Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana... Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli! Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana Njo... I don't know what to do, to do, I'm waiting for you Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana... Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli!
Writer(s): Joseph Mayanja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out