Lyrics

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo Ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua Inaniuma sana Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo (mhh mawazo) Maana, Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo) Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo) Mara, Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo) Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu Ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu Ameleta tafarani... mwenzenu nalia na moyo wangu! Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo (uhh mawazo) Maana, Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo) Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe Ili nipunguze mawazo (mawazo) Mara, Mchana kutwa hata usiku silali Mapenzi kwangu kikwazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out