Lyrics

Eh Bwana Naitaji macho ya roho Maana haya ya mwili Yameni danganya Iko njia yaonekana kuwa sawa machoni kwa mtu Lakini mwisho wake Ni njia za mauti Neno lako linasema "Jicho langu likiwa safi, mwili wangu wote utakuwa na nuru" Nipe macho Nipe macho nione Macho eh-eh-eh Nipe macho nione Sawa sawa Nipe macho nione Macho eh-eh-eh Nipe macho nione Sawa sawa (Nipe macho) Nipe macho nione (macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (macho ya roho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione Sawa sawa Saidie macho ya ndani Nione kama uonavyo Wewe Saidie macho ya ndani Nione mitego ya muovu Nimekukimbilia wewe Bwana Ili nikaye salama Nipe macho nione Sawa sawa Mara nyingi watu hutazama n'nje Lakini Wewe waona ndani Kwa n'nje mtu uonekana mwema Kumbe ndani ni hatari Mwaka hu Bwana nataka nione Ili nikae salama Nipe macho nione Sawa sawa Yesu nipe macho Nipe macho nione (macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (Baba nipe macho) Nipe macho nione (kama Batimayo) Macho eh-eh-eh (oh nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa Yesu nipe macho Nipe macho nione (kama Geyazi) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (nipe macho) Nipe macho nione (Yesu nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho macho) Sawa sawa Nipe macho nione Kama alivio-ona Stefani Kati ka mazingira ma gumu Aka mu-ona Yesu amesimama mukono waku-ume wa Mungu Baba Nipe macho Ni muone muhitaji Nipe macho nione unavio-ona Yesu Macho yangu yana-ona ni me vaha Kumbe waniona mutubu Mara najiona mtajiri Kumbe waniona masikini Mara nyingine macho yananipa haki eh Kumbe waniona mkosaji Nipe macho nione Sawa Sawa Macho yangu yanaona nina nguvu Kumbe waniona mnyonge Tena najiona busara Kumbe waniona mjinga Macho yangu yanaona ya usoni Wewe una mwisho kabla ya mwanzo Nipe macho nione, nione nione Baba nipe macho Nipe macho nione (nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (oh Yesu nipe macho) Nipe macho nione (macho ya roho) Macho eh-eh-eh (oh nipe macho) Nipe macho nione Sawa sawa (nione wema wako) Nipe macho nione (nione matendo yako) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (Baba nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (mmh) Sawa sawa Nipe macho-ooh Nipe macho-ooh Oh Baba nipe macho Nipe macho nione (oh nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (mimi si oni) Macho eh-eh-eh (macho ya roho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (nione wema wako) Macho eh-eh-eh (oh nipe macho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (Baba nipe macho) Nipe macho nione (niwe salama) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (nipe macho) Nipe macho Macho ya roho
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out