Lyrics

Aleluya Yesu ni Bwana Nawala hana mpinzani, atatenda mambo Wataka akutende nini, akutende nini we Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we Mwambie(mwambie)
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out