Music Video

Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
Songwriter

Lyrics

Naiona kesho kesho Iliyopangwa na baba Naiona kesho kesho Iliyopangwa na mungu Naiona kesho mimi kesho iliyopangwa na baba Kesho ya heshima aah Iliyopangwa na baba kesho ya Neema iliyopangwa na baba Kesho yenye utukufu iliyopangwa na Baba kesho ya kuinuliwa iliyopangwa na baba Kesho ya ushindi ii iliyopangwa na mungu Kesho yenye nguvu iliyopangwa na baba Sitaki kuitazama Leo yangu mwenzenu Leo yangu ni shida. Mwenzenu Leo yangu ni tabu mwenzenu Leo machozi yanitoka aah mwenzenu Leo nimekataliwa aah mwenzenu Leo nimefukuzwa mapema mwenzenu Leo wote waniacha aah mwenzenu Leo machozi ni mengi hii mwenzenu Sitaki kuitazama Leo yangu kamwe Sitaki kuitazama Leo yangu mm Leo yangu ninalia mwenzenu Leo ninateseka aah mwenzenu Leo mateso ni mengi hii mwenzenu Naiona kesho yangu mwenzenu x 2 Japo vita yangu ni kubwa mwenzenu Maadui wangu ni wengi mwenzenu Japo mateso yangu ni magumu mwenzenu Kuna neno amesema nami mwenzenu Atapigana aah amesema Atafanya mlango ooh amesema Atanifanyia wepesi amesema Japo vita yangu kubwa mwenzenu Japo adui ni wengi mwenzenu Japo njia siioni mwenzenu Atapigana mwenyewe amesema Atafanya wepesi iiih amesema Atanifanyia wepesi kwani amesema Atanichunga salama mh amesema Atafanya mlango ooh amesema Atapigana na adui aah amesema Kasema niione kesho aliyoniwekea ×2 Kuna majira yalifika nikajua mungu Kuna majira yalifika nikamwelewa Majira Yale yalikuwa magumu ×2 Kwa macho yangu nikaona akitenda ×2 Akasema mwanangu nakupenda ×2 Usiitazame Leo yako mwanangu ×2 Mbona mimi ni mungu nikupendaye ×2 Ni kweli kwa macho ya nyama Mimi nimechoka wengi wanitazamapo kweli Nimeshindwa Wengi wanionavyo kweli nimeshindwa Kweli kwa mbio za Mimi nimechoka Kweli kwa mwendo wangu nimeshindwa Kwa macho ya nyama nimechoka Kwa macho ya watu nimeshindwa Lakini hakuna hata mmoja. Anayejua Patano langu na mungu Lakini hakuna hata mmoja anayejua nimepatana nini Tumepatana na Baba hataniacha Hata nikisukwa sukwa sitamuacha Hata nikilia nisimuache Hata nikiteseka aah nisimwache Tumepatana na baba Nimepatana na baba × 3 Naiona kesho yangu iliyonjema haa Naiona kesho iliyonjema haa . Mwenzenu Naionaaaa kesho Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya heshima) Naiona kesho kesho iliyopangwa na mungu (kesho ya Neema) Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya kufanikiwa) Kesho ya heshima aah, kesho ya utukufu iliyopangwa na baba Kesho ya heshima (ya heshima yangu na Mimi) Iliyopangwa na mungu (kesho ya wote kumjua mungu wanguuu) Kesho ya heshima iliyopangwa na baba Kesho ya ushindi iliyopangwa na mungu Kesho ya utukufu wangu iliyopangwa na baba Kesho × 3
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out