Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Wanaona ah, ona
Wanaona ah, ona suprise
Hawakujua unanibadilisha Mungu
Wanaona ah, ona
Wanaona ah, ona suprise
[Verse 1]
Walizoea kukuona ukihangaika
Tena mioyo yao ikaburudika
Walifurahi kusikia umeharibikiwa
Ndo wakatangaza hautainuka
Kwa maana walijua ukisimama, wewe ni namba nyingine
Tena walijua ukisimama, wewe ni mtu mwingine
[Verse 2]
Eti kwanini na wewe upate, huku wao wana vyeo
Sawa walikusaidia, ila kwa shingo upande
Kama ilikua msaada wasingekudhalilisha
Walizoea kila jambo jema kutoka kwao tu
Walobobea wamewekwa kando umepata nafasi
[Chorus]
Wanaona ah, ona
Wanaona ah, ona suprise
Hawakujua unanibadilisha Mungu
Wanaona ah, ona
Wanaona ah, ona suprise
[Verse 3]
Kama neema ipo, subiri usichoke (Bado)
Siku yako ipo, shukuru usiache
Wako wapi? waliokudhalilisha na waseme
Ziko wapi? siku ulizojificha kwa fedheha
[Verse 4]
Hakuna jambo gumu haliwezi
Ninajua silaha zao ni panga butu
Walijua nitakufa bado ninaishi
Hata dunia ipinduke, sarafu haifutiki
Jina lako limeandikwa, baraka hazifichiki
Mi nan'gara kama Daudi vazi la utukufu
Si uliniita mchunga mbuzi
[Chorus]
Wanaona ah, ona
Wanaona ah, ona suprise
Hawakujua unanibadilisha Mungu
Wanaona ah, ona
Wanaona ah, ona suprise
[Outro]
Aya, aya, aya, twende sasa
Walisema huna mtoto (Huo, huo moto, huo)
Wakakutupia majini (Huo, huo moto, huo)
Wengine wakakufukuza kazi (Huo, huo moto, huo)
Walisema hutoolewa (Huo, huo moto, huo)
Wamebaki wanashangaa (Huo, huo moto, huo)
Maana lipo jina la Yesu (Huo, huo moto, huo)
Yesu ni yote katika yote (Huo, huo moto, huo)
Written by: Goodluck Gozbert, Goodluck Gozbert Wiki