Lyrics

Kama kinda nimetulizana Kwenye kiota changu Tena sina mawenge nipe ubawa wako ndo shuka yangu Kama pombe mwenzako mi umenilewesha sembe so dengu Tena bonge la boya mi nimefika makoko matandu Sina mapepe ya mbuzi macho mbele nyuma. Nina utulivu wa kondoo mwendo nainama eeeh Sina tamaa za jogoo kutaka kila tembe niwe nae Wivu ni donda la roho shida uko likizo Nyama ya kangaroo Ukinipanala sikinai kushiba sawa Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba na (Kangaroo) ukinipanala sikinai kushiba sawa Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba Wakikutia doa nitakupa jiki Mami Bado nipo nawe hadhira kwa fanai Wakikutia doa nitakupa jiki Mami Bado nipo nawe hadhira kwa fanai Kwanza unanipetipeti mapenzi ya tanga (ahe) Kwenye bedi sichoki unavyonikanda We ndo tanga namimi mlingoti Nifunge na kanga Nishitue kijoti usijeleta janga Naona baridi lanisaka ma we ndo koti koti Kwenye yetu ligi ooh tukikutana unanikochi kochi Mami mami mami ooh unanikosha mwenzio kwenye Love unaongeza malavu unafanya nadata mwenzio Mami mami mami ooh Unanikosha mwenzio ukishika ndevu Ukitomasa mbavu unafanya nacheka mwenzio Nyama ya kangaroo ukinipanala sikinai kushiba sawa Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba na (Kangaroo) ukinipanala sikinai kushiba sawa Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba Wakikutia doa nitakupa jiki Mami Bado nipo nawe hadhira kwa fanai Wakikutia doa nitakupa jiki Mami Bado nipo nawe hadhira kwa fanai Wikiendi twende wapi chagua nakupa nafasi Gari au tupande farasi cheers tugonge glass Wikiendi twende wapi chagua nakupa nafasi Gari au tupande farasi cheers tugonge glass
Writer(s): Bakari Katuti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out