Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Mbosso
Mbosso
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

(Ayo, Laizer) Hey, kako fine Kila nikikaweka kwenye line Bilabila Shuwaini (shuwaini) Kwake nimelewa kama wine Tilalila Ye sisimizi nami gegedu tuna gegeduana (gegedu) Nilivyo sina jinsi Tajiri wa mbegu Namuhonga na mwana Baba Mndenge mama Mzaramo Uno lake la kurithi (aah-eh) Kafunga tenge mwali chakalamu shetani mwana ibilisi Jipuu (jipu) Uchungu (uchungu) Mwana nyuma umejaza kishindundu Kwenye zipu (zipu) Kuna kirungu (kirungu) Usikamate utawaita wazungu Eeh-hey Babu mkuna nazi (mkuna nazi) achutama kishinani Na msuli wake uko wazi (uko wazi) Mambo yote hadharani Oh, go-goal go-goal Mtoto anadaka Goli kipa runya mira (wabeja) Tena akikata anaitikisa sababu (brr, okay) Baby, aje unachezaga? (Baikoko) Unavyo baby (Baikoko) Unavyoinyonga (Baikoko) Eeh, waonyeshe (Baikoko) Baby, aje unachezaga? (Baikoko) Unavyo baby (Baikoko) Unavyoinyonga (Baikoko) Eeh, waonyeshe (Baikoko) Asa komesha dengua! Dengua Baby dengua! Dengua Ringa Dengua! Dengua Deka Dengua! Dengua wakuone Kanivua ndala miguu Anataka nipite peku (peku, peku) Kunduchi juu anifikishe kwetu (kwetu, kwetu) Embu tamu ladha ya kitumbua Rojo ya embe Kibada! Kibada Hodari kunengua Miuno ya ushubwada (ushubwada) Nyuma kalisasambua Kafungasha midabwada (bwada) Anavyo tafuna mua Ka kibogoyo dada! (Woo!) Katoto kamelainika kwala (kwala) Kukapa ndizi banana (nana) Nakapeleka kwa mama (mama) Mama, Dangote (woo!) Kama kuku twakimbizana (zana) Kana ibuka kana zama (zama) Kamwili kana balaa na laana (laana) laana, kazote Eboh! Mtoto anadaka Goli kipa ronya mira (wabeja) Tena akikata anaitikisa sababu (brr, okay) Baby, aje unachezaga? (Baikoko) Unavyo baby (Baikoko) Unavyoinyonga (Baikoko) Eeh, waonyeshe (Baikoko) Baby, aje unachezaga? (Baikoko) Unavyo baby (Baikoko) Unavyoinyonga (Baikoko) Eeh, waonyeshe (Baikoko) Asa komesha dengua! Dengua Baby dengua! Dengua Ringa Dengua! Dengua Deka Dengua! Dengua wakuone Kama anaifata Anaima anainuka mwali anaifuata Kwa kujishebedua Anainama anainuka mwali anaisusa Kama hataki mwana Anaima anainuka mwali anaifuata Kwa madoidoi Anaima anainuka mwali anaifuata (Brra) (Kwa mix, Laizer) (Wasafi)
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out