Music Video

Dayoo Feat Young Lunya - Handsome (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Dayoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kerwin Amos Swai
Kerwin Amos Swai
Composer

Lyrics

Yaah, say Naitwa mangi Onana eeh Handsome, handsome oyeah Handsome, handsome Kwanza sina makuu Sura inajieleza, na Sibagui nguo vyoyote napendeza, hao Madada duu wanatokwa udenda, mm na Nikifika tu wanajisogeza Na sio salio, naongwa hadi mikoko Mamiloo midundo wanaleta shobo Eti dadio Dubai kuna party Njoo, sina hizo buyu nala bati joh Madada wanajikweza Waje ishi na mie eee Wanajikweza ah waje ishi na mie ee Call me Handsome handsome handsome Handsome handsome handsome Handsome handsome handsome Okey Nasifika kwa mapenzi na mademu Kila kona sasa wananita handsome Nasifika kwa mapenzi na mademu Kila kona sasa wananiita handsome Yeah Taarifa za mimamam nazipata, za vibinti nazipata Sio kuhongwa nilishapelekwa dubai kula bata Na ticketi zikakatwa kil akitu bila shaka Sura mabaya ni kitambo wewe sasa hivi nishajipata Puya ka nimeoga manukato Pua yangu ikitokeza wanagongesha macho Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyato Fake smile unaweza sema natafuta kumbato Pisi kali huna kibunda utakula kwa macho Kwenye pesa kuna raha sileti minato Pelekea sana moto wakapeane michapo Na ndiyo sababu sina demu misala haiishi kutongozwa na mashemu Birthday kila mwaka zawadi kemkem Mpaka namwagika pesa kama chem chem Dm nyingi nachanyikiwa sifa zote ni kwa Mungu nimebarikwa Sura bango imetakata ka'naogea maziwa Watu wengine Wanagombewa Mimi napapatikiwa umesikia Handsome handsome handsome Handsome handsome handsome Handsome handsome
Writer(s): Kerwin Amos Swai Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out