Lyrics

Tamu, tamu (eyo Trone) Tamu, tamu (ayo Lizer) Sura tisi chocolate Kidoti joketi katoto ni keki, eeh Nitamwaga bajeti, nikape tiketi Kunipeti peti Eh ulivyojazia ukinisusia itanizidia eeh Nang'ang'ania sitokuachia unanipatia eeh Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Oh alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Ah alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Oh alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Vanny Boy, no no no no no Alamba ta, mutamu napenda ukitabasamu Unavyonipa kwa mashamu mashamu Hujaniita naka-mukamu Nitachuchumia na kuning'inia Nipekupania yooh Nitakusugulia ka steel wire, Na masufuria yoh Nikisimama we lala, tamu tamu Nipe nguru sangara, tamu tamu Ukikamata mnara, tamu tamu Nitulize papara, tamu tamu Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Oh alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Ah alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Oh alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Nimeshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi Siwezi kukucheat, basi niamini ndo waasi Mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, (milele) Kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, nilewe Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Oh alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Ah alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu) Oh alamba (tamu) Ah alamba tena (tamu)
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out