Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Darkid
Darkid
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Thabit Juma Thabit
Thabit Juma Thabit
Songwriter

Lyrics

Kwani anapata raha gani ?
Anapata raha gani , hivi navyolia kwa ajili yake
Anataka nifanye nini ? Nimfanyie nini
Ajue kama bado nampenda
Kwani kosa langu ni nini ? Muulizeni Jamani
Mbona ananfanyia ivi ?
Sa Atanitesa mpaka lini ? Hata huruma haoni
Kwanini ananfanyia hivi ?
Natamani tusingekutana mi na yeye ,
Natamani nisingempenda mimi
Natamani nimtoe akilini
Maana nnamuwaza sana mimi
Nishamuomba sana turudiane ilaa
Hataki , Hataki , Amegoma Hataki
Nisham bembeleza sana ilaa
Hataki , Hataki , Amegoma Hataki
Kwani nna ubaya gani ? Mi nna ubaya gani ,
Kasoro yangu nini ? Jamani nitazameni
Au alitaka nini ? Akakosa kwangu mimi
Sikumpatia nini ? Ebu muulizeni nyinyi
Kwani anapata raha gani ? Anapata raha gani , Navyoteseka kwa ajili yake
Anataka labda nimpe nini ? Nifanye nini ? ili aamini nampenda
Natamani tusingekutana mi na yeye ,
Natamani nisingempenda mimi
Natamani nimtoe akilini
Maana nnamuwaza sana mimi
Nishamuomba sana turudiane ilaa
Hataki , Hataki , Amegoma Hataki
Nisham bembeleza sana ilaa
Hataki , Hataki , Amegoma Hataki
Written by: Thabit Juma Thabit
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...