Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Barnaba
Barnaba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elias Barnabas Inyasi
Elias Barnabas Inyasi
Songwriter
Naseeb Abdul Juma Isaack
Naseeb Abdul Juma Isaack
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Koma kunichokonoa
Kunifatafata kuna muda vinaboa
Aku utanitia doa
Niliyenae moyo wake tishi utaloa
[PreChorus]
Najua nakuudhi
Huyu wa sasa amekuzidi maujuzi
So usilete attitude
Kubishana bishana, I am not in the mood
[Chorus]
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku napenwa nyama
Nyama kwa nyama
Sijui wewe uko, weee
[Chorus]
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku inabana
Bana banana sijui wewe uko
[Refrain]
(Ona usiniulize hali) Niko very good mhh
Nimeglow sana eeh, Pochi limenona
(Ahh ehh mwenzako mimi) niko very good mhh
Nimeglow sana eeh, Pochi limenona
[Verse 2]
Eehh alhamdulillah, angeniuwa yule
Maana mtu si mtu, jini si msukule
Hivi mapenzi gani kupigana kama shule
Mie nampa huku ye anayotoa kule
[Verse 3]
Ohh nuru hii, ningeitoa wapi
Kufumania kila siku, kushikana mashati
Ohh nuru hii, ningeitoa wapi
Kutukaniwa mpaka, ndugu ndo mapenzi ya wapi
[Verse 4]
Na simu zako usiku wa manane unikome ehh
Kunitumia message please naomba nikuone
Wewe si jeuri haya move on tukuone
Na mbichwa wako usiofadhira heshima hata tone
[PreChorus]
Najua nakuudhi
Huyu wa sasa amekuzidi maujuzi
Ninajua so usilete attitude
Kubishana bishana, I am not in the mood
[Chorus]
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku napenwa nyama
Nyama kwa nyama
Sijui wewe uko, weee
[Chorus]
Niko salama
Salama sijui wewe uko
Uku inabana
Bana banana sijui wewe uko
[Refrain]
(Ex usiniulize swali) Niko very good mhh
Nimeglow sana eeh, Pochi limenona
(Mmhh mwenzako mimi)Niko very good ahh
Nimeglow sana eeh, Pochi limenona
Written by: Elias Barnabas Inyasi, Naseeb Abdul Juma Isaack
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...