Listen to Najiuliza (feat. Ray C & Sanapei Tande) by Chege

Najiuliza (feat. Ray C & Sanapei Tande)

Chege

African

Lyrics

Najiuliza nimpende nani salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Naiiuliza numpende nani salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Ole-ole-le-le, ole-le-le Ole-ole-le-le, ole-le-le Ole-ole-le-le, ole-le-le Ole-ole-le-le, ole-le-le Kinanda nitapiga uweze kutulia Hata ukienda mbali uweze nisikia Moyo wangu juu juu Pressure inashuka na kupanda Mama anataka wajukuu Oh, baby i love you Sioni sababu ya kuishi mwenyewe Bibi na babu ndo mfano uelewe Salima, Salima, Salama Eh yerere yerere Najiuliza nimpende nani Salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Najiuliza nimpende nani salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Ole-ole-le-le, ole-le-le Ole-ole-le-le, ole-le-le Ole-ole-le-le, ole-le-le Ole-ole-le-le, ole-le-le Wivu mapenzi jicho siwezi fumba Kwako siwezi upepo umenikumba Usije ukanyanyasa moyo Mwenzako nimeumbwa na uchoyo Sidanganywi kwa nyumba na toyo Nakupa moyo wangu (sikuachi) Mama moyo (sikuachi) Roho (sikuachi) Nakupa peke yako (sikuachi) Ni ni wako (sikuachi) Na wa peke yako (sikuachi) Wa ubavu wako Najiuliza nimpende nani salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Najiuliza nimpende nani salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Mapenzi usije changanya changanya Ukazuga ukanidanganya danganya Tunza roho yangu chochote nakupa Nile peke yangu nibaki mifupa (Sitoweza) Kukuacha (Sitoweza) Kurudi Mombasa (Sitoweza) Nimenasa Sipigi nang'ata Baby your my sweetie apple Baby oh, oh Nitakuja tuishi keko Mwenzio oh, oh Salima Salima Salama Eh yerere yerere Najiuliza nimpende nani Salima Ili mmoja arudi nyumbani salama Najiuliza nimpende nani salima Ili mmoja arudi nyumbani salama
Writer(s): Saidi Juma Hassani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out