Lyrics

Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mara akivaa ozi mwamba hana matatizo mwamba Tajiri hana baya mwamba yaani amenyooka mwamba Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo Mungu kanipa yeye anayenifaa Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa Namkumbatia hamnifanyi chochote Tena namshika namchumu hamsemi chochote Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu Natamba simwogopi yeyote Mama Amina Bele Amina Belebele Mama Amina Bele Amina Belebele Mwache apite mbele apite mbele mbele Mwache apite mbele apite mbele mbele Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Hana kipele mwamba sio baili mwamba Tena hajarogwa mwamba tajiri amenoga mwamba Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo Mungu kanipa yeye anayenifaa Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa Namkumbatia hamnifanyi chochote Tena namshika namchumu hamsemi chochote Nambeba pia hamnifanyi chochote Huyu wangu natamba simwogopi yeyote Mama Amina Bele Amina Belebele Mama Amina Bele Amina Belebele Mwache apite mbele apite mbele mbele Mwache apite mbele apite mbele mbele Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out