Listen to Tumeshinda (feat. Godwill Babette) by Eunice Njeri

Tumeshinda (feat. Godwill Babette)

Eunice Njeri

Christian & Gospel

Music Video

Tumeshinda - Eunice Njeri Ft. Godwill Babette (SMS Skiza 6380478 to 811)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Tumeshinda (feat. Godwill Babette) - Single by Eunice Njeri
ALBUMTumeshinda (feat. Godwill Babette) - SingleEunice Njeri

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Eunice Njeri
Eunice Njeri
Songwriter

Lyrics

Jeshi la Bwana amka Tuvae silaha twende Tuimbe, tushangilie Maana yote yawezekana Jeshi la Bwana amka Tuvae silaha twende Tuimbe, tushangilie Maana yote yawezekana (Oh) Hakuna asiloweza Tume- Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba Let the army of God arise With the armour of God, arise (Sing) Sing and shout to the King of kings All things are possible And nothing is impossible Tume- tume- tume- tume- eh, eh Tumeshinda (Ayaya) kwa jina la Yesu Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba (Nasi) Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu Tumesimama, (Eh, eh) kazi ya msalaba Tumeshinda (Hallelujah) kwa jina la Yesu Tumesimama, (Ye-eh) kazi ya msalaba Tumeshinda kwa jina la Yesu Tumesimama, kazi ya msalaba Tumezungukwa na majeshi wa Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu, sema Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu (Sema tume) Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu (Sema tume) Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni (One more time, lift your voice to say) Tumezingirwa na uwepo wako Mungu Tumezungukwa na majeshi ya Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu Come on, lift your hands to Jesus Ah, ah, ah Ah, ah, ah Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah Ah, ah, ah, ah, ah, ah, ah Na sisi tume- tume- tume- tume- Tumeshinda (Tumeshinda) kwa jina la Yesu (Come on) Tumesimama, (Simama) kazi ya msalaba (Sema) Tumeshinda kwa jina la Yesu (Simama) Tumesimama, (Wo, wo, wo) kazi ya msalaba (Sema) Tumeshinda kwa jina la Yesu (Simama) Tumesimama, (Eh, eh, eh) kazi ya msalaba Tumeshinda (Oh) kwa jina la Yesu Tumesimama, kazi ya msalaba Tumeshinda sisi, ye-eh Wapi vigelegele kwa Yesu? Kila mtu twe- kila mtu twe- Shout to Jesus Tumeshinda (Sisi, eh) kwa jina la Yesu Tumesimama, kazi ya msalaba Tumeshinda kwa jina la Yesu Tumesimama, (Simama) kazi ya msalaba Tumeshinda (Oh) kwa jina la Yesu (Sema) Tumesimama, kazi ya msalaba (Eh) Tumeshinda (Ah) kwa jina la Yesu Tumesimama, kazi ya msalaba Tumeshinda kwa jina la Yesu Tumesimama, (Eh, eh) kazi ya msalaba
Writer(s): Eunice Njeri Mathenge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out